Muhtasari wa Pato la Taifa, Robo ya Pili (Aprili – Juni) ya Mwaka 2022

Pato la Taifa katika robo ya pili (Aprili - Juni) ya mwaka 2022, kwa bei za miaka husika liliongezeka hadi shilingi trilioni 45.2 kutoka shilingi trilioni 39.9 kipindi kama hicho mwaka 2021. Aidha, Pato Halisi la Taifa (kwa bei za mwaka 2015) katika robo ya pili ya mwaka 2022 liliongezeka hadi shilingi trilioni 34.9 kutoka shilingi trilioni 33.3 katika kipindi kama hicho mwaka 2021, sawa na ukuaji wa asilimia 4.8.

Bonyeza hapa kupakua ripoti nzima