Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Ramani yenye matokeo ya Sensa ya Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ambaye amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi kwenye hafla ya Mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 iliyofanyika katika viwanja vya Kilimahewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi.
Uzinduzi wa Ripoti za Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira Sensa ya Watu na Makazi na Sensa ya Majengo ya mwaka 2022

Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchakata, kuchambua na kusambaza taarifa za kidemografia, kiuchumi, mazingira na kijamii zinazohusu watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum.