1. Kaimu Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Bi Sylvia Meku akiambatana na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu kukagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu  mkoani Kigoma  Februari 2021. 

 May be an image of 1 person, standing and outdoors

 2. Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mkoa wa Kigoma likionekana katika hatua nzuri ya kukamilisha ujenzi wake.