Sheria ya Takwimu Na.9 ya Mwaka 2015 ni miongoni mwa Sheria zilizofanyiwa  urekebu (revision)  Mwaka 2019  na kutangazwa  na  Serikali tarehe 28 Februari, 2020 (GN 140/2020). Urekebu huo katika Sheria ya Takwimu   unajumuisha  marekesho ya  Mwaka 2018 na 2019.

Kwa mantiki hiyo, kuanzia tarehe 28 Februari, 2020, Sheria ya Takwimu  itanukuliwa  kama  “Sheria ya Takwimu, SURA 351”.

Bonyeza hapa kusoma Sheria ya Takwimu, SURA 351