Pato la Taifa katika robo ya tatu (Julai - Septemba) mwaka 2023, kwa bei za mwaka husika liliongezeka hadi Shilingi trilioni 45.8 kutoka Shilingi trilioni 40.1 katika kipindi kama hicho mwaka 2022. Aidha, Katika kipindi hicho, Pato Halisi la Taifa (bei za mwaka wa kizio 2015) liliongezeka hadi Shilingi trilioni 35.7, kutoka Shilingi trilioni 33.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2022, sawa na ukuaji wa asilimia 5.3.

Kupakua taarifa hii bofya hapa