Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2023 umefika asilimia 3.3 kutoka asilimia 3.6 kwa mwaka ulioishia mwezi Juni, 2023. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2023 imepungua ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Juni, 2023. Fahirisi za Bei zimeongezeka kutoka 109.05 mwezi Julai, 2022 hadi 112.67 mwezi Julai, 2023.

Bonyeza hapa kupata Mfumuko wa Bei kwa mwezi Julai,2023